Mkoa wa Guangxi, China waunga mkono ujenzi wa miradi ya nyumba katika maeneo ya mijini

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 22, 2025
Mkoa wa Guangxi, China waunga mkono ujenzi wa miradi ya nyumba katika maeneo ya mijini
Picha iliyopigwa tarehe 21 Julai 2025 ikionyesha mradi wa ukarabati wa kijiji cha mjini katika Mji wa Nanning, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China. (Xinhua/Huang Xiaobang)

Tokea mwaka huu, Ofisi kuu ya fedha ya Guangxi, China imekusanya jumla ya fedha za ruzuku za yuan bilioni 3.4 (dola za Kimarekani kama milioni 473.9) kwa kuunga mkono ujenzi wa nyumba za bei nafuu katika maeneo ya mijini, ambayo imeboresha mahitaji ya umma ya makazi bora.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha