Tamasha la jadi la Siku ya Mwenge ya Kabila la Wayi lafanyika Kusini Magharibi mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 23, 2025
Tamasha la jadi la Siku ya Mwenge ya Kabila la Wayi lafanyika Kusini Magharibi mwa China
Ngo’mbe mafahali wakipigana kwenye tamasha la siku ya mwenge katika Tarafa ya Longtan ya Wilaya ya Butuo katika Mkoa wa Sichuan, kusini-magharibi mwa China, Julai 21, 2025. (Xinhua/Jiang Hongjing)

Tamasha la jadi la Siku ya Mwenge ya watu wa Kabila la Wayi limefanyika kuanzia Julai 21 hadi 23 katika Tarafa ya Longtan ya Wilaya ya Butuo katika Mkoa wa Sichuan, kusini-magharibi mwa China. Tamasha hilo lilihusisha shughuli mbalimbali zikiwemo maonyesho ya mavazi, karamu ya kupiga kambi kuzunguka moto, mashindano ya michezo ya kijadi ya kikabila, kucheza ngoma na mashindano ya kijadi ya urembo, tamasha hilo limevutia watalii kutoka sehemu mbalimbali za China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha