Mazungumzo Kati ya staarabu tofauti Miongoni mwa Nchi za SCO 2025 Yafanyika Tianjin, China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 24, 2025
Mazungumzo Kati ya staarabu tofauti Miongoni mwa Nchi za SCO 2025 Yafanyika Tianjin, China
"Vijana wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) katika Vitendo: Mpango wa Tianjin kwa Ajili ya Kushikilia Uanuwai wa Ustaarabu" ukitolewa kwenye Mazungumzo Kati ya Staarabu tofauti Miongoni mwa Nchi za Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) 2025 mjini Tianjin, kaskazini mwa China, Julai 23, 2025. (Xinhua/Li Ran)

Mazungumzo Kati ya Staarabu tofauti Miongoni mwa Nchi za Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) 2025 yamefanyika mjini Tianjin, kaskazini mwa China jana Jumatano yakivutia washiriki wapatao 300 kutoka ndani na nje ya China. Shughuli za pembezoni zikiwemo za maonyesho ya maandishi ya Lugha ya Kichina, maonyesho ya sanamu, na maonyesho ya urithi wa utamaduni usioshikika pia zimefanyika kwenye mazungumzo hayo. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha