Washiriki wa Mkutano wa Vyombo vya Habari na Washauri Bingwa wa SCO watembelea sehemu mbalimbali ya Henan, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 25, 2025
Washiriki wa Mkutano wa Vyombo vya Habari na Washauri Bingwa wa SCO watembelea sehemu mbalimbali ya Henan, China
Washiriki wa Mkutano wa Vyombo vya Habari na Taasisi za Washauri Bingwa wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) wakitembelea chumba cha kuhifadhi pombe kwenye eneo la kivutio cha Mlima Yangshao Xianmen katika Wilaya ya Mianchi ya Sanmenxia, Mkoa wa Henan, katikati mwa China, Julai 23, 2025. (Xinhua/Hu Jingwen)

Mkutano wa Vyombo vya Habari na Taasisi za Washauri Bingwa wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) umekuwa ukifanyika katika Mji wa Zhengzhou, Mkoa wa Henan, katikati mwa China kuanzia Julai 23 na umepangwa kuendelea hadi Julai 27. Washiriki wamealikwa kutembelea sehemu mbalimbali za mkoa huo wa Henan katika wakati wa mkutano huo.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha