Mkutano wa AI Duniani 2025 waonyesha maendeleo mapya zaidi ya AI duniani (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 28, 2025
Mkutano wa AI Duniani 2025 waonyesha maendeleo mapya zaidi ya AI duniani
Watembeleaji maonyesho wakifahamishwa kuhusu roboti ya muundo wa binadamu kwenye Mkutano wa AI Duniani 2025 huko Shanghai, mashariki mwa China, Julai 27, 2025. (Xinhua/Chen Haoming)

Mkutano wa AI Duniani 2025 umeanza kufanyika huko Shanghai, Mashariki mwa China juzi Jumamosi, Julai 26. Mkutano huo unaonyesha maendeleo mapya zaidi ya teknolojia ya AI duniani, wakati huohuo ukitoa jukwaa kwa watembeleaji maonyesho kupata bidhaa na teknolojia za AI. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha