Maonyesho ya sanaa ya China na Russia yaanza Heihe, Heilongjiang, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 28, 2025
Maonyesho ya sanaa ya China na Russia yaanza Heihe, Heilongjiang, China
Wasanii wakiwa kwenye maonyesho ya sanaa ya China na Russia huko Heihe, katika Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China, Julai 26, 2025. (Picha na Zhao Donglai/Xinhua)

Maonyesho ya 15 ya sanaa ya China na Russia yameanza rasmi Jumamosi huko Heihe, katika Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China yakiwa na shughuli zaidi ya 40 kwa ujumla, yakihimiza mawasiliano ya kitamaduni na ushirikiano wa kikanda kati ya nchi hizo mbili. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha