Wanajeshi wa China wajiunga na juhudi za kutoa msaada kwenye maeneo yaliyokumbwa na mafuriko (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 30, 2025
Wanajeshi wa China wajiunga na juhudi za kutoa msaada kwenye maeneo yaliyokumbwa na mafuriko
Askari wa Jeshi la Ukombozi wa Umma la China na wanamgambo wenyeji wakimbeba mzee aliyejeruhiwa katika mji wa wilaya ya Xiaying ya Eneo la Jizhou la Mji Tianjin, kaskazini mwa China, Julai 29, 2025. (Picha na Ma Shuai/Xinhua)

Jeshi la Ukombozi wa Umma la China, Jeshi la Polisi la China na wanamgambo wenyeji yametuma askari kujiunga na kazi ya utoaji msaada katika maeneo yaliyokumbwa na mafuriko nchini China.

Hivi karibuni, mvua kubwa mfululizo imeathiri maeneo ya mashariki, kaskazini na kaskazini mashariki mwa China, ikisababisha mafuriko na majanga ya kijiolojia ambayo yamesababisha vifo na majeruhi na hasara kubwa za mali. (Picha na Di Bowen/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha