Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China wavutia watalii wakati wa pilika nyingi za usafiri wa majira ya joto

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 01, 2025
Mkoa wa Guizhou, Kusini Magharibi mwa China wavutia watalii wakati wa pilika nyingi za usafiri wa majira ya joto
Picha iliyopigwa Julai 30, 2025 ikionyesha watu wakitembelea sehemu yenye mandhari nzuri ya Mnara Jiaxiu mjini Guiyang, katika Mkoa wa Guizhou, kusini magharibi mwa China. (Xinhua/Liu Xu)

Mkoa wa Guizhou, kusini magharibi mwa China, wenye hali ya hewa isiyo ya joto na vivutio vingi vya utalii, huvutia watalii kutoka kote nchini China wakati wa pilika nyingi za usafiri wa watu kwenda kutalii katika majira ya joto.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha