Mkutano wa kwanza wa Kilele wa Sayansi ya Raia katika Astronomia wafanyika Mji wa Dalian, China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 01, 2025
Mkutano wa kwanza wa Kilele wa Sayansi ya Raia katika Astronomia wafanyika Mji wa Dalian, China
Mfanyakazi akionesha picha zilizopigwa na kamera za sayansi ya mambo ya sayari na anga ya juu kwenye Mkutano wa kwanza wa Kilele wa Sayansi ya Raia katika Mambo ya Sayari na Anga ya Juu mjini Dalian, Mkoa wa Liaoning, kaskazini-mashariki mwa China, Julai 31, 2025. (Xinhua/Pan Yulong)

Mkutano wa kwanza wa Kilele wa Sayansi ya Raia katika Mambo ya Sayari na Anga ya Juu (astronomia) umefanyika mjini Dalian, Mkoa wa Liaoning, kaskazini-mashariki mwa China jana Alhamisi, ukilenga kuhimiza uenezaji umaarufu na ushiriki wa umma katika mambo ya Sayari na Anga ya Juu.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha