Uzalishaji hariri kwa kutumia teknolojia ya kisasa wasaidia ustawi wa vijijini katika Mji wa Wusu, Xinjiang, China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 01, 2025
Uzalishaji hariri kwa kutumia teknolojia ya kisasa wasaidia ustawi wa vijijini katika Mji wa Wusu, Xinjiang, China
Mfanyakazi akikagua nyuzi za hariri kwenye mashine ya kiotomatiki ya kuviringisha katika karakana ya uzalishaji ya kampuni ya vitambaa vya hariri katika Mji wa Wusu, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, kaskazini-magharibi mwa China, Julai 29, 2025. (Picha na Lan Hongguang/Xinhua)

Katika miaka ya hivi karibuni, Mji wa Wusu, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang umeanzisha mradi wa mnyororo mzima wa kiviwanda wa uzalishaji hariri ya mulberry kwa teknolojia ya kisasa, kwa kupitia kuongeza kasi za kuzaliana kwa minyoo ya hariri na ukuzaji wa mulberry. Juhudi hiyo inalenga kurahisisha na kuboresha muundo wa kilimo wa mji huo, kuongeza mapato ya wakulima, na kuendeleza ustawi wa vijijini.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha