Kusonga Mbele – Kipindi cha 4: Kutafiti Nyanja mpya

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 11, 2025

"Kusonga Mbele: Kutafiti Nyanja Mpya" ni sehemu ya nne ya mfululizo wa filamu kuhusu simulizi na moyo wa askari wa Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) wanaotekeleza majukumu waliyopewa na Chama na wananchi.

Filamu hiyo inaonyesha jeshi la PLA kupiga hatua kubwa kwa kuelekea vita vya kisasa, kutoka kuwekwa kwa mifumo isiyo na askari kwenye uwanja wa vita hadi kutuma manowari ya kwanza ya kubeba ndege za kivita ya China yenye kifaa cha kuongeza kasi ya urushaji kwa nguvu ya sumakuumeme, ikionyesha jinsi teknolojia ya kisasa inavyobadilisha mbinu za vita.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha