Mji wa Tianjin waboresha uwekaji taa kando ya mto Haihe

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 04, 2025
Mji wa Tianjin waboresha uwekaji taa kando ya mto Haihe
Picha iliyopigwa kwa droni Agosti 1, 2025 ya mwonekano wa usiku kando ya Mto Haihe kaskazini mwa Tianjin, China. (Xinhua/Sun Fanyue)

Ili kuboresha mandhari ya miji wakati wa usiku, mji wa Tianjin umeboresha taa zilizowekwa kwenye majengo 216, madaraja 13, kilomita 8.2 za kingo za mito na sehemu 7 za kupumzika kando ya Mto Haihe, hadi kufikia sasa mwaka 2025.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Renato Lu)

Picha