

Lugha Nyingine
Mashindano ya Matumizi ya Kivumbuzi ya Huduma za Afya za Kisasa 2025 yaanzishwa kwa sura mpya
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 13, 2025
Mashindano ya Matumizi ya Kivumbuzi ya Huduma za Afya za Kisasa 2025 yameanzishwa hivi karibuni. Mashindano hayo yana kaulimbiu ya "Teknolojia ya Kisasa yasaidia China yenye hali nzuri ya Afya", yakifuatilia mahitaji ya sekta ya afya na kutazamaiwa kutoa ufumbuzi wa teknolojia ya kisasa kwa mahitaji hayo.
Mashindano hayo kwa uvumbuzi yameongeza sekta ya huduma maalumu za afya, zikiwemo matibabu ya kurejea kwenye hali nzuri ya afya, upimaji na matibabu ya Thalassemia, huduma za afya kwa wanawake na watoto n.k., yakilenga kukidhi mahitaji mbalimbali ya kiafya ya watu tofauti.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma