

Lugha Nyingine
Mji wa Dongying, China watumia ardhi isiyo na matumizi kwenye eneo lenye mafuta kuzalisha nishati safi
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 11, 2025
![]() |
Picha iliyopigwa kwa droni Agosti 8, 2025 inaonyesha mradi wa mfano wa muunganiko wa paneli za nishati ya jua mjini Dongying, Mkoani Shandong China. (Xinhua/Guo Xulei) |
Katika miaka ya hivi karibuni mji wa Dongying umekuwa mzalishaji wa nishati safi. Ili kutumia vizuri ardhi iliyoachwa kwenye eneo la uchimbaji mafuta la Shengli, mradi wa mfano wa muunganiko wa paneli za nishati ya jua wenye uwezo wa kuzalisha megawati 300 uliokamilishwa Mei 2025, unaweza kusambaza umeme wa kilowati saa milioni 480 kwa mwaka.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma