

Lugha Nyingine
Mfuate katibu mkuu kusoma na kuelewa ustaarabu wa China: “Dunghuang, matarajio yangu ya siku zote”
Dunghuang, “sehemu ya koo” kwenye njia ya hariri ya kale. Katika historia ndefu ya miaka zaidi ya 2000 tokea Enzi ya Han ya China, Dunghuang siku zote inasimama kwenye msingi wa ustaarabu wa jadi wa China, kupokea matunda ya ustaarabu wa maeneo na mataifa mengine, na kujengea utamaduni wa Dunghuang wenye sifa pekee.
Kwenye kongamano kuhusu kurithisha na kuendeleza utamaduni, katibu mkuu Xi Jinping ameeleza, “Ustaarabu wa China una sifa yake ya ujumuishi”. Mali ya urithi wa utamaduni wa Dunghuang ambayo sanaa za mapango ya mawe ya Dunghuang na maandishi yenye thamani kwenye pango la uhifadhi wa misahafu la Dunghuang ni uwakilishi wa mali hiyo, si kama tu vilionesha msingi na nguzo vya ustaarabu wa China, bali pia vikiwa na moyo mpana wa nchi kubwa vimepokea na kufungamana na ustaarabu mbalimbali kutoka nje, vikionesha sifa ya utamaduni wa kufungua mlango, ujumuishi, kufundishana, na kuishi na kukua kwa pamoja.
Utamaduni na ustaarabu utarithishwa kizazi hadi kizazi. Ustaarabu wa China ulizaliwa kwenye arhi ya China, pia ni ustaarabu ulioundwa kutokana na kuwasiliana na kufundishana na ustaarabu mbalimbali tofauti. Nchi ya China ya zama mpya itazifungulia mlango zaidi nchi mbalimbali duniani, na itajipatia mafanikio ya ustaarabu wenye uhai zaidi kwa ajili ya dunia.
(Imeungwa mkono kwa ufadhili wa mtaji maalumu wa utangazaji wa China mtandaoni wa Mfuko wa maendeleo ya mtandao wa intaneti wa China.)
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma