Mandhari ya Arxan yenye vivutio vingi vya utalii, Kaskazini mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 15, 2025
Mandhari ya Arxan yenye vivutio vingi vya utalii, Kaskazini mwa China
Picha iliyopigwa Julai 28, 2025 ikionesha Tuofengling Tianchi (Ziwa Mbinguni) kwenye Bustani ya Msitu ya Kitaifa ya Arxan huko Arxan, Eneo linalojiendesha la Mongolia ya Ndani la China. (Xinhua/Ma Jinrui)

Arxan, mji wenye wakazi wasiozidi 40,000 na kiwango cha ufunikaji wa miti na majani cha zaidi ya 95%, mji huo uko sehemu chini ya mlima kusini magharibi mwa Mlima Dahinggan, ambako ni sehemu ya makutano ya mbuga nne kuu kaskazini mwa China. Kwa sasa mji huo ni wenye vivutio vingi unaovutia zaidi watalii.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha