Shughuli za kusherekea Siku ya Mchezo wa Ngumi ya kimataifa zafanyika mjini Zhengzhou, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 28, 2025
Shughuli za kusherekea Siku ya Mchezo wa Ngumi ya kimataifa zafanyika mjini Zhengzhou, China
Picha iliyopigwa Agosti 27, 2025 ikionesha wanafunzi wa Shule ya Tagou ya Michezo ya Wushu ya Shaolin wakifanya mazoezi ya kupiga ngumi katika shughuli zilizoandaliwa na Shirikisho la Ngumi la Kimataifa (IBA) kwa ajili ya Siku ya Mchezo wa Ngumi ya Kimataifa mjini Dengfeng, Zhengzhou, Mkoa wa Henan wa katikati mwa China. (Xinhua/Li Jianan)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha