

Lugha Nyingine
Shughuli za kusherekea Siku ya Mchezo wa Ngumi ya kimataifa zafanyika mjini Zhengzhou, China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 28, 2025
![]() |
Yeerjialahasi Laayibieke, mpiga ngumi wa China akiongoza wanafunzi wa Shule ya Tagou ya Michezo ya Wushu ya Shaolin kufanya mazoezi ya kupiga ngumi katika shughuli zilizoandaliwa na Shirikisho la Ngumi la Kimataifa (IBA) kwa ajili ya Siku ya Mchezo wa Ngumi ya Kimataifa mjini Dengfeng, Zhengzhou, Mkoa wa Henan wa katikati mwa China Agosti 27, 2025. (Xinhua/Li Jianan) |
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma