Maonyesho ya Sekta ya Data kubwa Duniani ya China ya 2025 yafunguliwa mjini Guiyang (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 29, 2025
Maonyesho ya Sekta ya Data kubwa Duniani ya China ya 2025 yafunguliwa mjini Guiyang
Mwanamke akipita kwenye eneo lenye maneno ya Maonyesho ya Sekta ya Data Kubwa Duniani ya China ya mwaka 2025 huko Guiyang, Mkoani Guizhou, Agosti 28, 2025. (Xinhua/Yang Wenbin)

Maonyesho ya Sekta ya Data Kubwa Duniani ya China ya mwaka 2025 yamefunguliwa mjini Guiyang, mkoani Guizhou nchini China.

Maonyesho hayo yanalenga zaidi uvumbuzi wa hali ya juu unaojumuisha data na AI, na kuhimiza mafungamano yenye ufanisi wa juu na utimilifu wa thamani wa rasilimali za data, ili kuongeza kasi kubwa ya kuboresha viwanda na ukuaji wa uchumi wa hali ya juu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha