

Lugha Nyingine
Maonyesho ya Sekta ya Data kubwa Duniani ya China ya 2025 yafunguliwa mjini Guiyang (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 29, 2025
![]() |
Msichana akimtazama roboti ya mbwa wakati wa Maonyesho ya Sekta ya Data Kubwa Duniani ya China ya 2025 mjini Guiyang, Mkoani Guizhou China, Agosti 28, 2025. (Xinhua/Tao Liang) |
Maonyesho ya Sekta ya Data Kubwa Duniani ya China ya mwaka 2025 yamefunguliwa mjini Guiyang, mkoani Guizhou nchini China.
Maonyesho hayo yanalenga zaidi uvumbuzi wa hali ya juu unaojumuisha data na AI, na kuhimiza mafungamano yenye ufanisi wa juu na utimilifu wa thamani wa rasilimali za data, ili kuongeza kasi kubwa ya kuboresha viwanda na ukuaji wa uchumi wa hali ya juu.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma