Kituo cha habari cha Mkutano wa SCO Tianjin Chafungua (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 29, 2025
Kituo cha habari cha Mkutano wa SCO Tianjin Chafungua
Mwandishi wa habari anafanya kazi katika kituo cha vyombo vya habari kwa ajili ya Mkutano ujao wa 2025 wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) huko Tianjin China Agosti 28, 2025. Kituo hicho kilifunguliwa Alhamisi. (Xinhua/Zhao Zishuo)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha