Kituo cha habari cha Mkutano wa SCO Tianjin Chafungua

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 29, 2025
Kituo cha habari cha Mkutano wa SCO Tianjin Chafungua
Picha iliyopigwa Agosti 28, 2025 inaonyesha kituo cha vyombo vya habari kwa ajili ya Mkutano ujao wa 2025 wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) mjini Tianjin, China. Kituo hicho kilifunguliwa Alhamisi. (Xinhua/Sun Fanyue)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha