

Lugha Nyingine
Roboti zaonyeshwa kwenye kituo cha wanahabari cha Mkutano wa SCO 2025 mjini Tianjin (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 01, 2025
![]() |
Roboti ikitoa maji ya chupa kwenye kituo cha wanahabari cha Mkutano wa mwaka 2025 wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) mjini Tianjin, Agosti 30, 2025. (Xinhua/Wang Jianhua) |
Roboti za aina mbalimbali zimevutia watu kwenye kituo cha wanahabari cha Mkutano wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai wa mwaka 2025 unaofanyika mjini Tianjin kuanzia Agosti 31 hadi Septemba 1.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma