Roboti zaonyeshwa kwenye kituo cha wanahabari cha Mkutano wa SCO 2025 mjini Tianjin

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 01, 2025
Roboti zaonyeshwa kwenye kituo cha wanahabari cha Mkutano wa SCO 2025 mjini Tianjin
Mwanamke anawasiliana na "Xiaohe", roboti yenye uwezo wa kuwasiliana kwa namna mbalimbali, katika kituo cha wanahabari cha Mkutano wa mwaka huu wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) mjini Tianjin, Agosti 30, 2025. (Xinhua/Wang Jianhua)

Roboti za aina mbalimbali zimevutia watu kwenye kituo cha wanahabari cha Mkutano wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai wa mwaka 2025 unaofanyika mjini Tianjin kuanzia Agosti 31 hadi Septemba 1.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha