Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China 2025 yafunguliwa Beijing (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 11, 2025
Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China 2025 yafunguliwa Beijing
Mtembeleaji maonyesho akitazama bidhaa zinazooneshwa kwenye banda la Iran katika Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China 2025 (CIFTIS) mjini Beijing, Septemba 10, 2025. (Xinhua/Shan Yuqi)

Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China 2025 (CIFTIS) yamefunguliwa rasmi mjini Beijing jana Jumatano Septemba 10. Yakiwa na kaulimbiu ya "Kumbatia Teknolojia ya AI, Wezesha Biashara ya Huduma", maonyesho hayo yamepangwa kuendelea kufanyika hadi Septemba 14.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha