

Lugha Nyingine
Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China 2025 yafunguliwa Beijing (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 11, 2025
![]() |
Watu wakitembelea banda la Pop Mart kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China 2025 (CIFTIS) mjini Beijing, Septemba 10, 2025. (Xinhua/Chang Nengjia) |
Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China 2025 (CIFTIS) yamefunguliwa rasmi mjini Beijing jana Jumatano Septemba 10. Yakiwa na kaulimbiu ya "Kumbatia Teknolojia ya AI, Wezesha Biashara ya Huduma", maonyesho hayo yamepangwa kuendelea kufanyika hadi Septemba 14.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma