Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China 2025 yafunguliwa Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 11, 2025
Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China 2025 yafunguliwa Beijing
Picha hii iliyopigwa Septemba 10, 2025 ikionyesha bidhaa za kuoneshwa kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China 2025 (CIFTIS) mjini Beijing. (Xinhua/Li Xin)

Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China 2025 (CIFTIS) yamefunguliwa rasmi mjini Beijing jana Jumatano Septemba 10. Yakiwa na kaulimbiu ya "Kumbatia Teknolojia ya AI, Wezesha Biashara ya Huduma", maonyesho hayo yamepangwa kuendelea kufanyika hadi Septemba 14.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha