Pomboo aliyekwama asaidiwa kurudi baharini Hainan (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 15, 2025
Pomboo aliyekwama asaidiwa kurudi baharini Hainan
Waokoaji wakimweka pomboo “Wan Wan” kwenye kitanda cha mgonjwa katika kituo cha uokoaji mjini Lingshui, Mkoa wa Hainan kusini mwa China, Septemba 14, 2025. (Xinhua/Zhang Liyun)

WANNING -- “Wan Wan,” pomboo aliyekwama na kuokolewa huko Wanning, mkoa wa Hainan kusini mwa China mwezi Juni mwaka huu, alisaidiwa kurudi baharini Jumapili baada ya kufanyiwa matibabu na matunzo takribani kwa miezi mitatu na timu ya wataalamu wa eneo hilo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha