Pomboo aliyekwama asaidiwa kurudi baharini Hainan

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 15, 2025
Pomboo aliyekwama asaidiwa kurudi baharini Hainan
Pomboo "Wan Wan" akiogelea kwenye bahari karibu na Wanning, Mkoa wa Hainan Kusini mwa China, Septemba 14, 2025. (Xinhua/Zhang Liyun)

WANNING -- “Wan Wan,” pomboo aliyekwama na kuokolewa huko Wanning, mkoa wa Hainan kusini mwa China mwezi Juni mwaka huu, alisaidiwa kurudi baharini Jumapili baada ya kufanyiwa matibabu na matunzo takribani kwa miezi mitatu na timu ya wataalamu wa eneo hilo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha