

Lugha Nyingine
Pomboo aliyekwama asaidiwa kurudi baharini Hainan (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 15, 2025
![]() |
Pomboo “Wan Wan” akisaidiwa kurudi baharini karibu na Wanning, Mkoa wa Hainan kusini mwa China, Septemba 14, 2025. (Xinhua/Zhang Liyun) |
WANNING -- “Wan Wan,” pomboo aliyekwama na kuokolewa huko Wanning, mkoa wa Hainan kusini mwa China mwezi Juni mwaka huu, alisaidiwa kurudi baharini Jumapili baada ya kufanyiwa matibabu na matunzo takribani kwa miezi mitatu na timu ya wataalamu wa eneo hilo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma