

Lugha Nyingine
Katika picha: Shughuli za siku za kufunguliwa za Kikosi cha Anga cha PLA huko Changchun, China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 22, 2025
Shughuli za siku za kufunguliwa za Kikosi cha Anga cha Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) na Maonyesho ya Urukaji wa Ndege ya Changchun 2025 zimefanyika huko Changchun, Mkoa wa Jilin, kaskazini-mashariki mwa China kuanzia Septemba 19 na zinatazamiwa kuendelea hadi Septemba 23. Shughuli hizo zinaonyesha kwa pande zote historia na mambo ya kisasa ya Jeshi la Anga la PLA kwa kupitia maonyesho ya ustadi maalumu wa urukaji wa ndege angani, maonyesho ya zana na vifaa, na shughuli nyingine mbalimbali.
(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma