Reli ya China-Laos yasafirisha mizigo yenye uzito wa tani zaidi ya milioni 67 (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 22, 2025
Reli ya China-Laos yasafirisha mizigo yenye uzito wa tani zaidi ya milioni 67
Picha iliyopigwa Septemba 21, 2025 ikionyesha treni za mizigo zikiendeshwa kupita kwenye Stesheni ya Reli ya Mohan ya Reli ya China-Laos katika Mkoa wa Yunnan, kusini-magharibi mwa China. (Xinhua/Xing Guangli)

Tangu kuanzishwa kwa Reli ya China-Laos hadi Septemba 19, jumla ya idadi ya treni za mizigo zinazofanya kazi kwenye njia hiyo imezidi treni 60,000, zikiwa zimesafirisha mizigo yenye uzito wa tani zaidi ya milioni 67.6, zikiwemo zaidi ya tani milioni 15 za bidhaa za biashara ya kuvuka mpaka.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha