

Lugha Nyingine
Hifadhi ya Taifa ya Amboseli yajulikana kwa mandhari ya kipekee na wanyama pori nchini Kenya (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 23, 2025
![]() |
Picha hii iliyopigwa Septemba 21, 2025 ikionyesha tembo na Mlima Kilimanjaro nyuma yao kwenye Hifadhi ya Taifa ya Amboseli katika Kaunti ya Kajiado, Kenya. (Xinhua/Li Yahui) |
Hifadhi ya Taifa ya Amboseli iko kwenye mpaka kati ya Kenya na Tanzania na chini ya kilele cha juu kabisa barani Afrika cha Mlima Kilimanjaro, katika Kaunti ya Kajiado, Kenya. Inajulikana kwa mandhari yake ya kipekee na ni moja ya maeneo bora zaidi nchini Kenya kuona wanyama mbalimbali wa porini.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma