Sikukuu ya mavuno ya wakulima yaadhimishwa katika Mkoa wa Xizang, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 24, 2025
Sikukuu ya mavuno ya wakulima yaadhimishwa katika Mkoa wa Xizang, China
Wakulima wakifanya kazi kwenye shamba la shayiri ya Uwanda wa Juu katika Wilaya ya Lhunzhub, mjini Lhasa, Mkoa unaojiendesha wa Xizang, kusini-magharibi mwa China, Septemba 23, 2025. (Xinhua/Tenzin Nyida)

Sikukuu ya mavuno ya wakulima wa China ni sikukuu ya kwanza ya kitaifa iliyoanzishwa mahsusi kwa ajili ya wakulima wa China. Sikukuu hiyo, ikiwa ilianzia rasmi mwaka 2018, huwadia wakati sawa na Kipindi cha Mlingano wa Usiku na Mchana cha Majira ya Mpukutiko kila mwaka, ambacho ni moja ya vipindi 24 vya kalenda ya Kilimo ya China na kwa kawaida huwadia kati ya Septemba 22 na 24 wakati wa majira ya mavuno ya kilimo nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha