Tukio la kuonyeshwa kwa umma la Kikosi cha Anga cha PLA na Maonyesho ya Anga ya Changchun vyahitimishwa China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 24, 2025
Tukio la kuonyeshwa kwa umma la Kikosi cha Anga cha PLA na Maonyesho ya Anga ya Changchun vyahitimishwa China
Ndege za kivita aina ya J-20 zikionekana pichani kwenye shughuli za kuonyeshwa kwa umma za Kikosi cha Anga cha Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) na Maonyesho ya Anga ya Changchun 2025 mjini Changchun, Mkoani Jilin, kaskazini mashariki mwa China, Septemba 23, 2025. (Picha na Tan Sicheng/Xinhua)

Shughuli za kuonyeshwa kwa umma ya Kikosi cha Anga cha Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) na Maonyesho ya Anga ya Changchun 2025 zimehitimishwa rasmi jana Jumanne mjini Changchun, Mkoani Jilin, kaskazini mashariki mwa China.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha