Mkutano wa 4 wa Kimataifa kuhusu Matumizi ya Mfumo wa Beidou waanza kufanyika mjini Zhuzhou, China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 25, 2025
Mkutano wa 4 wa Kimataifa kuhusu Matumizi ya Mfumo wa Beidou waanza kufanyika mjini Zhuzhou, China
Mfanyakazi (kulia) akielezea chombo cha ufuatiliaji kilichofungwa Mfumo wa Urambazaji wa Satalaiti wa BeiDou (BDS) kwenye Mkutano wa 4 wa Kimataifa juu ya Matumizi ya BDS mjini Zhuzhou, Mkoani Hunan, katikati mwa China, Septemba 24, 2025. (Xinhua/Chen Sihan)

Mkutano wa 4 wa Kimataifa wa Matumizi ya Mfumo wa Urambazaji wa Satalaiti wa BeiDou (BDS) umeanza rasmi jana Jumatano mjini Zhuzhou, Mkoani Hunan, katikati mwa China. Mbali na hafla ya ufunguzi, pia kuna hotuba kuu za hali ya juu, majukwaa ya mada mbalimbali, mazungumzo ya kitaaluma na maonyesho ya kielelezo, miongoni mwa mambo mengine, ili kuonyesha mafungamano ya kina kati ya matumizi makubwa ya BDS na uchumi na jamii.

(Wahariri wa tovuti:Shixi,Zhao Jian)

Picha