Maeneo ya vivutio vya watalii kote China yashuhudia ongezeko kubwa la watembeleaji wakati wa likizo ya siku nane (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 07, 2025
Maeneo ya vivutio vya watalii kote China yashuhudia ongezeko kubwa la watembeleaji wakati wa likizo ya siku nane
Watalii wakitembelea daraja lenye sakafu ya kioo la Bonde Kubwa la Zhangjiajie katika Mkoa wa Hunan, katikati mwa China, Oktoba 5, 2025. (Picha na Wu Yongbing/Xinhua)

Maeneo mbalimbali ya vivutio vya watalii kote nchini China yameshuhudia ongezeko kubwa la watembeleaji wakati ambapo likizo ya siku nane ya Siku ya Taifa na Sikukuu ya Mbalamwezi ya nchi hiyo iliyoanza Jumatano, Oktoba 1, 2025 ikielekea ukingoni kesho Jumatano, Oktoba 8, 2025.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha