

Lugha Nyingine
Maeneo ya vivutio vya watalii kote China yashuhudia ongezeko kubwa la watembeleaji wakati wa likizo ya siku nane (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 07, 2025
![]() |
Picha ya droni iliyopigwa Oktoba 4, 2025 ikionyesha watalii wakitembelea mji wa kale wa Xiangyang katika Mji wa Xiangyang, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China. (Picha na Yang Dong/Xinhua) |
Maeneo mbalimbali ya vivutio vya watalii kote nchini China yameshuhudia ongezeko kubwa la watembeleaji wakati ambapo likizo ya siku nane ya Siku ya Taifa na Sikukuu ya Mbalamwezi ya nchi hiyo iliyoanza Jumatano, Oktoba 1, 2025 ikielekea ukingoni kesho Jumatano, Oktoba 8, 2025.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma