Maeneo ya vivutio vya watalii kote China yashuhudia ongezeko kubwa la watembeleaji wakati wa likizo ya siku nane (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 07, 2025
Maeneo ya vivutio vya watalii kote China yashuhudia ongezeko kubwa la watembeleaji wakati wa likizo ya siku nane
Picha hii iliyopigwa Oktoba 5, 2025 ikionyesha mashua za watalii zikiendeshwa kwenye mfereji katika mji wa kale wa Zhouzhuang mjini Kunshan, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China. (Picha na Zhou Shegen/Xinhua)

Maeneo mbalimbali ya vivutio vya watalii kote nchini China yameshuhudia ongezeko kubwa la watembeleaji wakati ambapo likizo ya siku nane ya Siku ya Taifa na Sikukuu ya Mbalamwezi ya nchi hiyo iliyoanza Jumatano, Oktoba 1, 2025 ikielekea ukingoni kesho Jumatano, Oktoba 8, 2025.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha