Umwagiliaji maji kutokana na kubadilika kwa majira wafanyika Bayannur, Mkoa wa Mongolia ya Ndani, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 17, 2025
Umwagiliaji maji kutokana na kubadilika kwa majira wafanyika Bayannur, Mkoa wa Mongolia ya Ndani, China
Picha iliyopigwa Oktoba 16, 2025 ikionyesha kituo cha kuchepusha maji katika Eneo la Linhe la Bayannur, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, kaskazini mwa China. (Xinhua/Ma Jinrui)

Eneo la Umwagiliaji la Hetao, lililoko Bayannur, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, kaskazini mwa China limekuwa likichepusha maji kutoka Mto Manjano kwa ajili ya umwagiliaji tangu Enzi ya Qin (221 B.C.-207 B.C.). Siku hizi umwagiliaji maji kutokana na kubadilika kwa majira unafanyika katika eneo hilo ili kuhifadhi maji kwenye ardhi kwa ajili ya kilimo cha majira ya mchipuko katika mwaka ujao.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha