

Lugha Nyingine
Timu ya watu wa kujitolea Kaskazini Mashariki mwa China yajitahidi kulinda wanyamapori katika eneo la Mto Songhua
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 22, 2025
![]() |
Watu wa kujitolea wakimuokoa ndege aliyenaswa kwenye nyavu haramu za kukamata ndege mjini Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China, Oktoba 19, 2025. (Picha na Zhang Shu/Xinhua) |
Timu inayoundwa na watu 60 wa kujitolea ya kuwalinda wanyamapori ya Harbin imefanya juhudi za muda mrefu za kuhifadhi mazingira ya ikolojia katika eneo la mtiririko wa Mto Songhua, katika Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China.
Katika muda wa miaka saba iliyopita, timu hiyo imefanya doria kwenye eneo la kilomita takriban 30,000 na kuripoti habari karibu 100 kuhusu uwindaji haramu kwa ofisi husika.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma