Uhifadhi wa Chui-theluji katika Hifadhi ya Mlima Helan

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 27, 2025
Uhifadhi wa Chui-theluji katika Hifadhi ya Mlima Helan
Chui-theluji akiwa atafanyiwa mafunzo ya kuzoea kwenye kituo cha utafiti na uhifadhi cha Hifadhi ya Mlima Helan ya Ningxia, China, Oktoba 24, 2025. (Xinhua/Yang Zhisen)

Katika miaka ya hivi karibuni, kwa kupitia kuanzisha kituo maalumu cha utafiti na uhifadhi, kazi ya kuhifadhi chui-theluji imepata maendeleo dhahiri katika eneo la Mlima Helan mkoani Ningxia, China. Kituo hicho kinashughulikia mchakato mzima wa uokoaji, uhamishaji salama, mafunzo ya kuzoea, urudishaji kwenye mazingira ya asili, ufuatiliaji baada ya kurudisha, na uangaliaji wa chui-theluji porini. Kwa sasa, chui-theluji waliorudishwa porini wote wapo kwenye hali nzuri.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha