Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China washuhudia ujenzi wa ghuba zinazopendeza (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 28, 2025
Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China washuhudia ujenzi wa ghuba zinazopendeza
Watu wakipiga picha za harusi katika Ghuba ya Lingshan, Mji wa Qingdao, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, Oktoba 14, 2025. (Picha na Yu Fangping/Xinhua)

JINAN - Katika miaka ya hivi karibuni, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China umefanya juhudi kubwa za kuhimiza ujenzi wa ghuba za kupendeza kwa kupitia hatua mbalimbali za udhibiti wa uchafuzi wa mazingira karibu na fukwe, ulinzi wa mfumo wa ikolojia wa baharini, na uboreshaji wa mazingira ya pwani.

Ubora wa hali ya jumla ya ikolojia ya baharini umeendelea kuimarika, na ghuba sita katika sehemu mbalimbali za mkoa huo zimetambuliwa kuwa vielelezo vya "ghuba zenye kupendeza" na Wizara ya Ikolojia na Mazingira ya China.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha