Siku ya Chongyang yaadhimishwa kote China kwa shughuli mbalimbali za kusherehekea (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 30, 2025
Siku ya Chongyang yaadhimishwa kote China kwa shughuli mbalimbali za kusherehekea
Mtu wa kujitolea akitoa huduma za kunyoa nywele bila malipo kwa wakazi wazee katika Kijiji cha Guojiaying cha Wilaya ya Yuzhong, Mkoa wa Gansu, kaskazini magharibi mwa China, Oktoba 29, 2025. (Xinhua/Lang Bingbing)

Shughuli mbalimbali za kusherehekea zimefanyika kote China kuadhimisha Siku ya Chongyang ya Tarehe 9 ya Mwezi wa 9 kwa kalenda ya kilimo ya China, ambayo iliwadia Oktoba 29 mwaka huu. Pia ikijulikana kwa jina la Siku ya Kuheshimu Wazee ya China, siku hiyo inatukuza maadili ya jadi ya watu wa China ya heshima, utii, na utunzaji kwa wazazi na watu wazee na upendo wa familia.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha