 
				 
			Lugha Nyingine
Siku ya Chongyang yaadhimishwa kote China kwa shughuli mbalimbali za kusherehekea (6)
 (Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 30, 2025
		|  | 
| Mzee akifanyiwa matibabu katika kituo cha shughuli za watu wazee ndani ya eneo la makazi katika Wilaya ya Jiangbei, Mji wa Chongqing, kusini magharibi mwa China, Oktoba 29, 2025. (Xinhua/Tang Yi) | 
Shughuli mbalimbali za kusherehekea zimefanyika kote China kuadhimisha Siku ya Chongyang ya Tarehe 9 ya Mwezi wa 9 kwa kalenda ya kilimo ya China, ambayo iliwadia Oktoba 29 mwaka huu. Pia ikijulikana kwa jina la Siku ya Kuheshimu Wazee ya China, siku hiyo inatukuza maadili ya jadi ya watu wa China ya heshima, utii, na utunzaji kwa wazazi na watu wazee na upendo wa familia.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
	Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
	people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




