Njia maalum kando ya Mfereji Mkuu wa China mkoani Hebei yasukuma mbele maendeleo ya mkoa (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 04, 2025
Njia maalum kando ya Mfereji Mkuu wa China mkoani Hebei yasukuma mbele maendeleo ya mkoa
Mwanafunzi akifanya mazoezi ya ujuzi wa sarakasi kwenye ua wa sarakasi, ambao uko kando ya njia maalum ya kulinda kingo za Mfereji Mkuu wa China, katika Wilaya ya Wuqiao ya Cangzhou, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China, Oktoba 28, 2025. (Xinhua/Mu Yu)
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha