Banda la China lavutia ufuatiliaji wa watu wengi kwenye Maonyesho ya 8 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 06, 2025
Banda la China lavutia ufuatiliaji wa watu wengi kwenye Maonyesho ya 8 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa
Sampuli zilizochukuliwa kutoka mwezini na vyombo vya anga ya juu vya Chang'e-5 na Chang'e-6 vya China kwenye upande wa mbali wa mwezi zikionyeshwa kwenye Banda la China katika Maonyesho ya nane ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) mjini Shanghai, mashariki mwa China Novemba 5, 2025. (Xinhua/Liu Ying)

SHANGHAI - Maonyesho ya nane ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yamefunguliwa rasmi mjini Shanghai, mashariki mwa China jana Jumatano, ambapo mambo muhimu yanayooneshwa kwenye Banda la China ni pamoja na mafanikio mapya yaliyopatikana nchini China katika kuendeleza mageuzi kwa kina kwa pande zote na ufunguaji mlango wa kiwango cha juu wakati wa kipindi cha Mpango wa 14 wa Miaka Mitano (2021-2025).

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha