Lugha Nyingine
Banda la China lavutia ufuatiliaji wa watu wengi kwenye Maonyesho ya 8 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 06, 2025
SHANGHAI - Maonyesho ya nane ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yamefunguliwa rasmi mjini Shanghai, mashariki mwa China jana Jumatano, ambapo mambo muhimu yanayooneshwa kwenye Banda la China ni pamoja na mafanikio mapya yaliyopatikana nchini China katika kuendeleza mageuzi kwa kina kwa pande zote na ufunguaji mlango wa kiwango cha juu wakati wa kipindi cha Mpango wa 14 wa Miaka Mitano (2021-2025).
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma



