Lugha Nyingine
Tamasha la maisha ya intaneti laanza katika Mji wa Tongxiang, Zhejiang, China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 06, 2025
Tamasha la maisha ya intaneti imeanza jana Jumatano katika Mji wa Tongxiang, Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China na imepangwa kuendelea hadi Novemba 9. Tamasha hilo linafungamanisha maonyesho ya teknolojia, bidhaa za matumizi na bidhaa za burudani katika viwanda vya vya mitindo ya maisha ya kisasa ya eneo hilo, likiwezesha watembeleaji kujionea na kupata uzoefu katika mazingira mbalimbali ambapo ustaarabu wa kidijitali unaongeza ubora wa maisha.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




