Tamasha la maisha ya intaneti laanza katika Mji wa Tongxiang, Zhejiang, China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 06, 2025
Tamasha la maisha ya intaneti laanza katika Mji wa Tongxiang, Zhejiang, China
Onyesho la roboti likifanyika kwenye tamasha la maisha ya intaneti katika Eneo la Mapumziko la Puyuan, Mji wa Tongxiang wa Jiaxing, Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China, Novemba 5, 2025. (Xinhua/Xu Yu)

Tamasha la maisha ya intaneti imeanza jana Jumatano katika Mji wa Tongxiang, Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China na imepangwa kuendelea hadi Novemba 9. Tamasha hilo linafungamanisha maonyesho ya teknolojia, bidhaa za matumizi na bidhaa za burudani katika viwanda vya vya mitindo ya maisha ya kisasa ya eneo hilo, likiwezesha watembeleaji kujionea na kupata uzoefu katika mazingira mbalimbali ambapo ustaarabu wa kidijitali unaongeza ubora wa maisha.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha